Tukutane Chamazi complex, Mtibwa sukari Vs Northern dynamo....mtanange wa kimataifa huu.

November 27, 2018
Dar-es-Salaam, Tanzania

Highlights and interviews CAF Confederation cup match: final score

MTIBWA SUGAR 4 - 0 NORTHERN DYNAMO

Source : Azam TV
 
Mtibwa wamekosa sana magoal but wamepata ushindi mzuri,UZALENDO ilikuwa leo tu,kesho kila mtu abebe zigo lake, naamini hamjasahau
 
Mtibwa wamekosa sana magoal but wamepata ushindi mzuri,UZALENDO ilikuwa leo tu,kesho kila mtu abebe zigo lake, naamini hamjasahau
Wangekuwa makini kidogo wangeshinda goli zaidi ya hizo, nikukumbushe kidogo ndugu yangu, simba ata akiwa porini anawinda mwenyewe kwa maana na Simba wenzie, hivyo hivyo kwa upande wetu leo, tutasimama wenyewe dhidi ya wahamiaji haramu kutoka kwa mswati.
 
Mid sitii neno hapa nasubiri kesho baada ya mchezo tujue mbivu na mbichi
Tunajua kabisa mbabane swallows itapata mashabiki wengi kweli leo ila sie hatuna wasiwasi kwasababu kama ilivyo desturi ya simba akiwa porini huwa anawinda mwenyewe, hategemei msaada kutoka kwa mnyama mwingine isipokuwa kundi la simba wenzie.
 
Msilielie sasa pambaneni na hali yenu
 
Km unaishi CHANG'OMBE ama KEKO, Taifa ni Karibu kuliko CHAMAZI! Kama unaishi MBAGALA, Taifa ni Mbali na CHAMAZI ni Karibu!

Kuhusu uwanja kujaa! Jana YANGA v JKT Tanzania, SWEDI MWINYI ameskika kupitia TBC, uwanja mweupee!

Ukiacha mechi za Simba na YANGA, sherehe za Muungano ama UHURU, Uwanja wa Taifa haujawahi kujaa!
Mbna akicheza azam uwanja Ni mweupe acha fiks dogo
 
Hata ulaya viwanja havijai labda uingereza, Spain Germany nk ila consistency ya mashabiki inatakiwa isishuke mfano simba anapocheza na timu za daraja la Kati kwa msimu mashabiki hawapungui 20,000

Kuhusu chamazi ukitoa wakazi wa mbagala sio Rafiki sana kwa mashabiki wa mpira

Wapenda mpira wengi Ni watu wanaojishughilisha sana usishangae washabiki wa mpira wengi wanakuwa mjini mda wa mchana

Fuatilia siku simba na yanga huwa zinaenda kucheza kule amsha amsha huwa za kawaida sana ukilinganisha na Taifa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…