Unajikuta unaona so kujitambulisha jina lako mbele ya watu.Jina langu ninaloitwa silo ambalo niliitwa nikiwa mtoto...hivyo nikawa na majina mawili hili la kikabila likabamba ikabidi niandikishwe hilo...hata cheti cha kuzaliwa nimekipata uzeeni...! Ila nalipenda japo la ajabu