Tukutane hapa ambao tumeshawahi kuwapa kichapo wake/ wapenzi au mademu zetu

Nilishawahi kutembezewa kichapo kitakatifu uku ameweka bastola juu ya gari lake kana kwamba watu waogope kuja kunisaidia,nilipigwa sana nikikubuka huwa nasisimka,nilipata msaada baada ya balozi kuitwa,Akanichukua na kigari chake na kunipeleka hospital, Nilipopona tuu nikamrudishia Pete yake ya uchumba na mahali akakataa kuipokea mpaka leo,Naamani na maisha yangu mbali naye
 
Pole sana
 
Sijawahi kupiga mwanamke sababu uwaga napenda kuachana nao mapema wakifanya upuuzi na kwa sasa nipo na mwanamke ambaye ni mpole siwezi mpiga ni mtulivu ila natambua fika 75% ya wanawake bila makofi hawaendi kabisaaaa tafadhali tumieni makofi kudumisha ndoa zenu angalau kofi moja la nguvu kwa mwaka linatosha kabisa kumkumbusha ..wanaopiga ngumi siungi mkono hoja...
 
kumpiga mwanamke sio sahihi......i tried once..... nafsi yangu ilikonda....but i already confess on myself..sikuwahi kumuomba msamaha kamwe...."asili ya mwanaume"
 
Kosa lilikuwa nini dada?
 
Ulizidi mipaka mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…