Tukutane hapa Kwa ambae hajapata usingizi mpaka muda huu

Tukutane hapa Kwa ambae hajapata usingizi mpaka muda huu

habari ya hapa

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2012
Posts
12,791
Reaction score
8,749
Tupeane mawili matatu, usingizi hata dakika walau moja sijapata, nimeamua nitoke kidogo nizunguke zunguke walau niangalie mji, manake ndani hapakaliki, sijui sababu ya kukosa glisi?

Karibuni
 
Miye natafakari tafakari mambo Makuu ya MUNGU kwenye Ayubu sura ya 38. Hakika kazi ya uumbaji wa Dunia na vilivyomo haiwezi kujibika kirahisi.
 
Miye natafakari tafakari mambo Makuu ya MUNGU kwenye Ayubu sura ya 38. Hakika kazi ya uumbaji wa Dunia na vilivyomo haiwezi kujibika kirahisi.
Kuna mambo mengine yapo nje ya uwezo wa binadamu

Hivyo imebaki kuwa ni siri ya Mungu
 
Hahhah Mpaka leo hujawa zoea tu nasikia ni mboga tamu kama senene..
Sio asili yetu kula hao wadudu, sie twala Yale majani km mboga ambayo HIV karibuni polisi wamekuwa wakiyachoma moto
 
Sio asili yetu kula hao wadudu, sie twala Yale majani km mboga ambayo HIV karibuni polisi wamekuwa wakiyachoma moto
Wewe upo kwenye mkesha wa J.Mosi umechoka sala sasa unaanza uzi. Meditate, just breathe in breathe out.
 
Back
Top Bottom