habari ya hapa
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 12,791
- 8,749
Uko mtulivu sana, huwezi linganisha na mchana, napita kariakoo hapa,Mji unaonekanaje mida hii?
Utalalaje glisi maduka yamefungwa?[emoji1] [emoji1] [emoji1]Yaani hakuna kulala!
Hata ile wanaita "window shopping" haipo tena!Utalalaje glisi maduka yamefungwa?[emoji1] [emoji1] [emoji1]
Itoke wapi ndgHata ile wanaita "window shopping" haipo tena!
Nahitaji mkopo wa kununua japo kimojawapo,Ndani patalalikaje wakati hamna feni/AC ..endelea kulala kibarazan empty set
Tueleze hali ya huko mkuuBora kudhurura tu maana ukikaa mahali pamoja mbu nao wanafanya yao.
Kuna mambo mengine yapo nje ya uwezo wa binadamuMiye natafakari tafakari mambo Makuu ya MUNGU kwenye Ayubu sura ya 38. Hakika kazi ya uumbaji wa Dunia na vilivyomo haiwezi kujibika kirahisi.
Hahhah Mpaka leo hujawa zoea tu nasikia ni mboga tamu kama senene..Nahitaji mkopo wa kununua japo kimojawapo,
Kibarazan mbu walah
Sio asili yetu kula hao wadudu, sie twala Yale majani km mboga ambayo HIV karibuni polisi wamekuwa wakiyachoma motoHahhah Mpaka leo hujawa zoea tu nasikia ni mboga tamu kama senene..
Wewe upo kwenye mkesha wa J.Mosi umechoka sala sasa unaanza uzi. Meditate, just breathe in breathe out.Sio asili yetu kula hao wadudu, sie twala Yale majani km mboga ambayo HIV karibuni polisi wamekuwa wakiyachoma moto