Mara ya mwisho kuhudhuria hiyo ilikuwa sijui mwaka ganiWewe upo kwenye mkesha wa J.Mosi umechoka sala sasa unaanza uzi. Meditate, just breathe in breathe out.
ipi meditation au mkesha?Mara ya mwisho kuhudhuria hiyo ilikuwa sijui mwaka gani
Hahahshahaha dyudyu ndo nini?Ndio shida ya kutokuwa na dyudyu karibu, pambaneni na loneliness zenu.
wengine ndo kwaaaanza kumekucha kazi kazi hakuna kulalaTueleze hali ya huko mkuu
Usiku umekuwa mrefu sana
Vipi hujazingatie ule ushauri wa mama mtu mzima kuwa "mme wa mtu bidhaa adimu"Utalalaje glisi maduka yamefungwa?[emoji1] [emoji1] [emoji1]
Mshana Jr Leo umewahi kulala? Uko mitaa gani hapo? Au uko ulaya SAA hizi
Hata wewe uko macho duhmie niko porini na nga'aa sharubu