Tukutane hapa tuliowahi kufanya mapenzi na binamu au ndugu zetu wa karibu

Ndio Una fikra mbovu.
 
Mie kuna mmoja nimemla sana, ila ni ndugu wa karibu ila sio sana.

Nimejitahidi kumkwepa ila ndio hivyo anataka MASHINE.

Nimejitahidi kumkalia kimya, ubaya lazima tutaonana tu ktk event za kifamilia na lazima atauliza "So ndio umeniacha?" my weakness ipo hapo kutoa jibu la moja kwa moja kuwa sitaki tena.. then tunaendelea na hako kamchezo.

ila kwa sasa nimejitahidi kumkalia kimya kuliko awali.. miez miwil hatuwasiliani wacha nione.
Huyu Ndugu yangu ni Mzuri kwa kweli, ila kutokana na mazingira siwez Kuoa kwanza itakuwa Maajabu ya mwaka.. nahofia akidaka Mimba maana napiga kavu kavu mwaka wa 3 sasa.
 
Hapo huna kosa, mtafute uendelee kula matunda.

Kosa ni kumla mtoto wa ndugu wa baba yako, hao wengine buruza tu
 
Mungu wangu jamani daa si laana hizi zakujitakia [emoji24][emoji24][emoji24]
 
Waendelee tu hakuna aibu wala dhambi
 
Joka jeusi njoo nakuomba tafadhali mimi kaka yako.Nimeona bikra zinavyotolewa humu kisha baadaye wanatafuta wanawake wakuoa ambao nao hawana bikra.Wanatoa bikra za watu kisha wao wanaoa ambao wametolewa bikra na watu wengine!
Ndiyo maajabu moja wapo ya wabongo
 
Aisee nakubaliana na wewe kabisaaaaa....Ndio maana nasemaga sitooa mke kama sio bikra
Je huyo aliyesema kwasababu alikuwa bikira akashindwa kaanza kula haramu je ukaenda kumuoa kisa bikira lakini huko nyuma alishafumuliwa imekaaje hapo, vitu vingine omba Mungu tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…