Tukutane hapa tuliowahi kufanya mapenzi na binamu au ndugu zetu wa karibu

Waarabu wanaoana, tatizo liko wapi kwenu?
 
Si jambo zuri kula ndugu, mtoto wa mjomba, shangazi, mama mkubwa, mama mdogo, baba mkubwa na na baba mdogo pamoja na wapwa hao wote ni ndugu si jambo zuri kufanya mapenzi nao
Una sababu za msingi una ni maoni yako binafsi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…