2014 hiyo nipo napiga misele kwenye kagari kangu carina ti, nipo eneo halina magari ghafla nikafika sehemu nigeuze gari bila kuangalia nyuma, vile nageuza nasikia kishindo, kuangalia nyuma ni gari ya idara fulani ya usalama, akili ziliziruka maana navyosikia ukiingia 18 zao utaita maji mma.
Hapo nilikanyaga moto wala sikufikiria mara mbili, naingia mitaa wapo nyuma, piga kona bado wapo nyuma, kanyagia mpaka 100 bado nikicheki side mirror nawaona, yaani ni kama sumaku na chuma, ilibidi tu nijisalimishe nika surrender.
Kilichotokea navyoshuka nilipigwa kofi zito nilihisi nyota, uzuri walikuwa ni watu wazima, kulikuwa na kijana moja huyo ndie alieniwasha keleb, bahati nzuri walikuwa wanaenda sehemu zao kikazi nilionywa tu nisirudie tena baada ya kutoa kiasi kadhaa