mtu na mtu
Member
- Oct 9, 2016
- 51
- 40
hakika namjua rasta fulani sioKuna mmoja yeye anaendesha gari la vinywaji hapa city center, mbabe yule dada, ukimkuta kashikilia msukani wa ile center ya vinywaji balaa, sijui nani anamtafuna
Yea mkuu haa haaaahakika namjua rasta fulani sio
Kuna jingine nimelifumua malinda jana pande za dom [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji126] [emoji125]Kuna mmoja yupo 40/40 bar Tabata anauza cocktails alinisakizia demu wake kumbe anataka kitonga nimsaidie kumnywesha demu wake alivyoona naweza kumla kweli yule demu akaleta wivu akawa anamchimba biti yule cheupe wake,mshkaji wangu akaniambia mtongoze yeye mwenyewe wasitufanye mafala nikamvuta pemben tomboy ilibid acheke akaniambia siku nyingine endelea tu na yule demu;baadae yule demu akaniambia analika tu yule tomboy na dau anakuambia
Hizi bila shaka ni akili za movie za kiindia[emoji57]Nimekumbuka demu wangu Alice
Na madame BKandugu kake gudume na beira
Haaaaa haaaa[emoji23] [emoji23]Alikuwa anaishi mikocheni...nilikuwa namwambia mwnyw atangulie nyumba ya wageni maana hata kuongozana nae aibu
HeheheheheHaaaaa haaaa[emoji23] [emoji23]
We jamaa huwaga unanifurahishaga na comments zako
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Ameeen....
Ila wahuko duniani hawajui kugegeda. Na pia wadada wote wa jf ni wazuri.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mimi nilimgegeda tom boy mmoja alikuwa mtamu balaa, ila alinimwaga nilimtongoza demu wake
Mkuu hata sijawahi waona![emoji23] [emoji23]Hehehehehe
Hujawahi kuwa na mchumba wa namna hiyo?
Hehehehe acha uongo wwMkuu hata sijawahi waona![emoji23] [emoji23]
Hahhaha....! Sasa tom boy yupo na dem wake hakawii kubadili gia.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Demu wake angekukubali mngekula 3 some safi kabisa
Wakageuka wamsage na yeye eeh [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]. Angekoma kujifanya kidume kula wanaume wenzieHahhaha....! Sasa tom boy yupo na dem wake hakawii kubadili gia.
Hahahahahaaausipende kusikia nitafute uthibitishe mwenyew kama ninayo au la.....ushindwe mwenyew