Tukutane hapa wale tuliowahi "Kuchapiwa", ni kitu gani kilikuuma zaidi na ulichukua maamuzi gani kwa mwenzako?

Me nili chapiwa mwanamke wangu nlokua naishi nae , na jamaa mmoja mtumishi wa serikal ili niuma kisenge na hivi sikua na pesa wala KAZI ya maana , basi nlivyo hakikisha kaichapa nili muwinda mke wake Kwa muda wa mwaka na miezi mpaka nikaichapa na mm had taarifa kumfikia muhuni kua jamaa anakula mkeo , akanza nitafuta na kutoa vitisho vya kunifanya kitu mbaya ila wapi mwishowe kesi iliishia police maana me nilikomaa nimuoe mke wake yeye abebe wangu [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Uwe makini ukiachana na mambo ya kufumania jamaa akigundua anaweza hata kukuroga au kukutengenezea tukio la kukutoa uhai.

Kuna watu wanakutwa wameuwawa na kufumgwa kwenye mifuko au kuvamiwa n majambazi na kuuwawa vingne inakuwa ni visasi vya kipamapenzi.

Hayo yapo na nmeyaona
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Unaeza ukahisi ulichapiwa kumbe we ndo ulichapia mtu, kimsingi unaweza hisi we ndo ulikua main kumbe we ni ulikua mpango wa kando
Mpka jamaa anakuja kuoa kabsa mm nmehisi pia jamaa kajihisi kachapiwa ila yeye ndio kachapa demu wa msela
 
Kipindi nikiwa chuo ,nipo likizo home nikapata demu ,nikaleta home , nmetoka kufuata msosi na vinywaji kurudi nikakakuta mshua anaipiga ,dah niliumia kiasi ila nilijikaza na mimi nikaigegeda tu kibishi , kesho yake mzee ananiangalia tu kma dume la nyani.
 
Kinachouma kiko wazi kwa wote na si uzoefu binafs.
1. Kinauma kuona hana akili ya kujificha hadi umejua.
2. Kinauma kuona unajituma sana kimatunzo na kitandan na huna cha kuongeza!
3. Kinauma namna anakuachia mwili wake hasa milio ya kuhamasisha na maneno kuwa anamfanyia mwingine.
Na hata hujui wamefanya style zipi!
4. Kinauma bado unamhitaji lakin hakuna detergent yoyote ya kusafisha k ili uendelee kama hakuna kilichotokea, maana huwa hakuna damage ya mtambo hakika.
5. Kinauma kuona hafutiki akilini maana ametombw lakin amebaki na unavyopenda kwake viko dhahiri.
6. Kinauma kutojua kakuacha na afya gani.
7. Yote tisa kinauma kuona bado anaamini huna akili anazid kuukataa ukweli kuwa kaigawa ili walau upate pa kuanzia kusamehe kwa kanuni ya ..kosa si kosa....
KUDANGANYWA KUNAUMA SANA!
HITIMISHO:
Hakika mapenzi/ngono si hitaji la msingi katika kumpatia mwanadam furaha. Wekeza katika furaha inayoanzia ndan yako kuelekea kwako!
Sio furaha yako itokane na matendo/silika/hulka ya mtu mwingine naye katika harakat zake kuitafuta furaha yake!
Kila mtu ni kamili na kamilifu katika uwepo wake.
........LOVE RESPONSIBLY.....
 
Wazee mimi BabaMorgan mwaka jana mwezi wa 12 nilifumaniwa na mke wa mtu kiukweli kila nikikumbuka lile tukio najisikia fedheha sana ila nasikia jamaa alirudiana na mke wake.

Mwezi wa 9 nilipata mchongo Morogoro kwa kufunga code naomba nisitaje Morogoro sehemu gani nilipokelewa na jamaa ambaye alitangulia huko akanipa hifadhi mpaka pale ambapo nitajipanga kuhamia ghetto kwangu. Most of times tukiwa tunaelekea kwenye mishe au kurudi kuna mwanamke tunakutana naye anamchangamkia yule jamaa ambaye alinipa hifadhi kwake yule mwanamke kwa muonekano ni mzuri na alikuwa akipenda kuvaa Madera na ukweli yalikuwa yakimpendeza pamoja na ushungi.

Ikafika time nikawa namuonea wivu mshikaji anavyochangamkiwa na yule mwanamke japo hatukuwahi kuongelea chochote kumhusu yule mwanamke hatimaye yule mwenyeji wangu akapata mchongo wa kurudi Dar es salaam ikabidi aniachie ghetto kwa makubaliano kuwa kodi ikiisha niendeleze kulipa na kuhusu vitu atakuja kuvichukua.

Nikawa nimebaki peke yangu sasa kuna siku natoka zangu saloon nakutana na yule mwanamke kwenye kichochoro nikamsalimia nakuomba namba akanikazia kuwa atanipa siku nyingine kumbe kuna jirani mitaa ile akawa ametuona tumesimama pamoja akaenda kumpa taarifa jirani wangu wa kike ambaye tumepakana chumba.

Yule jirani akaja kuniambia kuwa niwe makini yule ni mke wa mtu na katika nyumba tunayoishi kashatembea na baba mwenye nyumba na kuna mshikaji alikuwa anatembea naye ila wameachana na huyo jamaa sababu watu walimfuata na kumwambia si jambo zuri kutembea na mke wa mtu ambaye anaishi nyumba ya pili kutoka tunapoishi zile taarifa zilinikata na nikaumia kuona mwanamke mzuri ambaye ni mke wa mtu kuwa mama huruma nikawa nimegiveup naye.

Kuna jumapili moja nikasema nikashtue na pombe kali nikawa nimewaka wakati narudi nakutana na yule mwanamke nikasema leo nakomaa naye nikaomba namba nikapewa kwa vile ilikuwa night sikumcheki ili nisije kuleta sintofahamu kwa mume wake kesho yake nipo job nikamtext akareply nikatoa yaliyopo moyoni nikaona mwanamke kirahisi kaingia king kutokana na uzuri wake sikufikiria kuhusu mmewe wala wale wahuni aliopita nao.

Chatting zikawa za kutosha anytime natuma texts anajibu ananipigia simu night kali tunaongea tukaanza zile njoo basi nikuone natoka room na yeye anatoka kwake tunakutana nyuma ya nyumba yao tunapige french kiss za kutosha tomasana anarudi kwake narudi kulala ghetto.

Mara ya kwanza kumla ilikuwa nipo kazini akanitumia texts kuwa ana mchezo hana hela ya kupeleka anaomba nimsaidie nikamuuliza shilling ngapi akajibu 10000 nikamuuliza nakupatiaje akasema nitume kwenye simu nikajiongeza nikamwambia narudi home kuna kitu nimesahau uje kuchukua kwangu sababu time ile ghetto panakuwa hakuna watu akakubali akaja kwa mara ya kwanza maishani mwangu nikala mke wa mtu tena nyama kwa nyama na nikamwagia ndani.

Ukawa ndio mchezo nacheki mazingira yakiwa yametulia anaitwa mtu analiwa sina uhakika kama kuna watu walishtukia ule mchezo au vipi.

Siku ya fumanizi bibie kaja ilikuwa jioni ameingia tunaanza story ghafla nasikia sauti ya kiume inaita kwa ukali wewe Mama fulan toka nje nimekuona umeingia ndani humo kweli alimuona ameingia getini ila hakuwa na uhakika ni chumba gani amengia kwa hiyo alikuwa anasikilizia atatokea chumba kipi mzee moyo ulilia paaa nikasema leo nimepatikana ikabidi nifungue mlango nimsukume nje afu mimi nikarudi ndani na kufunga mlango.

Nilisikia vibao vinatembea na ghafla mtaa mzima ukawa umejaa pale.

Wakuu nimetumwa na boss nakuja kumalizia sasa hivi.
 
Mmh baba yako mzazi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…