Tukutane hapa wenye Majina ya asili

Tukutane hapa wenye Majina ya asili

Removers

Member
Joined
Nov 1, 2018
Posts
73
Reaction score
40
Habarini za asubuhi wakuu.

Ni desturi iliyopo kwa baadhi ya makabila na hata wazazi kuwapa wanao majina ya asili ,naweza kuita majina ya kiukoo..

Wale wote wenye majina ya asili naomba mtupe pamoja na Maana ya Hilo jina uliloitwa au ulilompa mtoto wako..japo baadhi huwa yanaleta ukakasii.
Ntaanza mimi

Masatu - Hii ni aina ya samaki ,, nnavyoambiwa niliitwa jina hili ,,kipindi ambapo kulkuwa na upatikanaji mwng wa samaki aina hii ,, maan familia yangu ni ya wavuvi ,wakulimaa..


Karibuni, wakuu tupate kujuzanaa .
 
gwaishobizire wahaya tumeelewana nadhani
 
Ndimnyake
nkwelengushwe yungwa
Jambengwe kiuchiuke
 
Maana ya jina langu ni kuwa nimezaliwa siku ya sherehe.
 
Back
Top Bottom