Tukutane Hapaa.

Tukutane Hapaa.

Blank page

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2015
Posts
5,487
Reaction score
4,817
Nyuzi nyingi za JF huwa mwishoni zinaishia tukutane hapa...hasa jukwaa la elimu na chit chat
Utasikia...
Wale tuliowahi kupanda daladala..tukutane hapa
Wale ambao hatulipi kodi..tukutane hapa
Madereva boda boda..tukutane hapa
Wale ambao hatujawahi kuiba..tukutane hapa
Wale hatujawahi kupost wala kulike chochote..tukutane hapa
Sasa embu leo wana jukwaa wote wa jamiiforums tukutane hapa kwa makundi yotee...
Ongeza ya kwako hapa chiniii...ambao tunachangia hii thread tukutane hapa...wenye....tukutane hapa....
 
Tuliosoma feza tukahamia st.kayumbaa tukutane hapa...
 
Back
Top Bottom