Tukuyu Stars ilitubeba Wanyakyusa

Valencia_UPV

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2016
Posts
6,974
Reaction score
8,750
1. Pamoja na kwamba wengi tumesoma mpaka PhD Ila timu yetu ya Tukuyu Stars ndio ilitambulika zaidi kuliko PhD zetu.

2. Tulivyo wa ajabu, hatujisikii aibu kushabikia timu za Ulaya huku timu yetu ikipotea kwenye ramani.

NB: Dr Sugu, Prof Mwandosya, Dr. Tulia, SH Amon-Sauli, Dr Mwakyembe ongozeni njia tuifufue Tukuyu Stars yetu.
 
Timu ya bhanyambala ( wanaume)

A.K.A Koma kumwanya
 
Leo ndio nimefahamu maana ya id yako ( abdalla kichwa wazi)
Wanyaki mna mambo😂
 
Tafuta historia ya Tukuyu Stars ilikua ya mfanyabiashara wa kihindi hapo Tukuyu. Wanyaki bize na ujenzi wa makanisa
Yaaah Kwa zaman nakubali but now tukuyu stars inajitafuta but ipo na wazawa ...... DC aliyeondoka ndo alianza kuipa uhai wa nguvu
 
Nje ya Mada: Huwa nikiona mnyakyusa ana jina la ki-madrasa, mara nyingi nyuma yake kuna dalili za upigaji. Ni sawa na sheikh yule kuitwa Abubakar Mwaipopo
Njoo Kapunga utawapata waburushi kibao!
 
Kumbe tukuyu stars nitimu yakikabila ? BC Ni heri iendelee kupotea huko huko
Usipotoshe mada ya mtu; alisema kuwa illiitangaza sana Tukuyu kimpira siyo kuwa ni timu ya kabila la watu wa Tukuyu. Nakumbuka kuwa Mwanza pia ilitangazwa sana kimpira na Pamba United kama ambavyo Kagera leo intangwazwa na Kagera Sugar na wala wachezaji wa timu hizo siyo wa makabila ya huko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…