ibanezafrica
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 7,261
- 6,553
Ndiyo njia pekee ya kukimbizana na kiwango standard cha soka la dunia.
Kupitia Afcon hii kama taifa tuna la kujifunza hasa tukiyaangalia mataifa madogo kama Comoro, Malawi na cape verde juhudi kubwa na uwezo waliouonyesha licha ya baadhi yao kushiriki kwa mara ya kwanza katka fainali hizi.
Ni wazi tukijipanga nasi tutafika.
Zianzishwe shule maalum za michezo serikali iweke humo wataalam wa michezo kutoka ulaya na hata amerika ya kusini hususan Brazil,
Serikali iingie katika utaratibu wa uraia pacha hii itasaidia katika kuzidi kuimarisha timu kwa kuwatumia wachezaji wenye asili ya Tanzania waliozaliwa na kuishi nje ya nchi mfano kumtumia mchezaji kama Yousuf poulsen anayekipiga ligi ya bundesliga pale ujerumani.