Tule chakula kidogo ili kubaki na akiba ya kutosha

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
21,643
Reaction score
51,642
Wataalam wa nutrition wameshauri tuwe na mazoea ya kula chakula chenye virutubisho vyote vinavyohitajika ila kwa kiasi kidogo
Spiritual nakazia Huo ushauri,HaKuna sababu ya kula chakula kingi mpaka ushibe tumbo lijae full.kula kidogo kwa ajili tu kupata nishati ya kuishi na kufanya Mambo mengine kwa ukawaida..unakuta mtu kashanenepa na kuwa na mwili mkubwa lakini bado anakula sana.haitakiwi kufanya hivyo mtu ambaye anamjua Mungu anapaswa kula kidogo akiamini kuwa anafanya hivyo anaacha kingine kwa ajili ya kutengeneza akiba yake na ya wengineo
 
chakula kidogo ni kiasi gani.? mana kuna watu kula chapati 30 na maharage nusu ndoo kubwa ni kawaida.
 
Wataalam wa nutrition wameshauri tuwe na mazoea ya kula chakula chenye virutubisho vyote vinavyohitajika ila kwa kiasi kidogo
Spiritual nakazia Huo ushauri,HaKuna sababu ya kula chakula kingi mpaka ushibe tumbo lijae full.kula kidogo kwa ajili tu kupata nishati ya kuishi na kufanya Mambo mengine kwa ukawaida..unakuta mtu kashanenepa na kuwa na mwili mkubwa lakini bado anakula sana.haitakiwi kufanya hivyo mtu ambaye anamjua Mungu anapaswa kula kidogo akiamini kuwa anafanya hivyo anaacha kingine kwa ajili ya kutengeneza akiba yake na ya wengineo
Wanaukula tu vyakula tudogo tudogo huwa wanakula mara kwa mara sasa sisi wanywamwezi wazee wa milo mitatu huwezi kuniambia nile kidogo then niende kwenye shughuli zangu za kutafuta mkate

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wataalam wa nutrition wameshauri tuwe na mazoea ya kula chakula chenye virutubisho vyote vinavyohitajika ila kwa kiasi kidogo
Spiritual nakazia Huo ushauri,HaKuna sababu ya kula chakula kingi mpaka ushibe tumbo lijae full.kula kidogo kwa ajili tu kupata nishati ya kuishi na kufanya Mambo mengine kwa ukawaida..unakuta mtu kashanenepa na kuwa na mwili mkubwa lakini bado anakula sana.haitakiwi kufanya hivyo mtu ambaye anamjua Mungu anapaswa kula kidogo akiamini kuwa anafanya hivyo anaacha kingine kwa ajili ya kutengeneza akiba yake na ya wengineo
Ulafi ni dhambi tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom