ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Mimi bado sijafikia level ambayo inatakiwa bado najifunzaBaada ya kupapasa siasa na ukaishindwa sasa umeanza uganga wa kienyeji.
Nikupe namba ya mganga wa kienyeji ukawe msaidizi wake(ndundami)?Mimi bado sijafikia level ambayo inatakiwa bado najifunza
Wanaukula tu vyakula tudogo tudogo huwa wanakula mara kwa mara sasa sisi wanywamwezi wazee wa milo mitatu huwezi kuniambia nile kidogo then niende kwenye shughuli zangu za kutafuta mkateWataalam wa nutrition wameshauri tuwe na mazoea ya kula chakula chenye virutubisho vyote vinavyohitajika ila kwa kiasi kidogo
Spiritual nakazia Huo ushauri,HaKuna sababu ya kula chakula kingi mpaka ushibe tumbo lijae full.kula kidogo kwa ajili tu kupata nishati ya kuishi na kufanya Mambo mengine kwa ukawaida..unakuta mtu kashanenepa na kuwa na mwili mkubwa lakini bado anakula sana.haitakiwi kufanya hivyo mtu ambaye anamjua Mungu anapaswa kula kidogo akiamini kuwa anafanya hivyo anaacha kingine kwa ajili ya kutengeneza akiba yake na ya wengineo
#ndundami. Nimeisoma kwenye makala flani inaitwa 'bikra yangu mali ya babu'Nikupe namba ya mganga wa kienyeji ukawe msaidizi wake(ndundami)?
Ulafi ni dhambi tuWataalam wa nutrition wameshauri tuwe na mazoea ya kula chakula chenye virutubisho vyote vinavyohitajika ila kwa kiasi kidogo