Tule chapati na kitimoto roast

Naona unakuka ushibe utuandalie story za kutisha kama za binti aliyeolewa na sele
 
Angesukumia ata kwenye jaba, enzi zangu kabla sijao nilitest kupika chapati magetoni na masela tulisukumia kwenye mfuniko wa jaba na chupa ya Pepsi aloo machapati yalikuwa mazito afu mbichi tuliarisha mno
😁😁😁😁😁 uwiii kama nawaona
 
Dah hizi chapati sizitaki, zina mafuta mno ila mdudu nitamla tu
 
Mwanaume ukishamiliki kibao cha chapati/ kibao cha kukunia nazi/ gunia la mkaa...... Hauoi wewe
 
Makobaz wakija utaukimbia uzi wako, waliamrishwa na muarabu wachukie kiti moto
 
huzuria vikao wewe wanaume hatupiki chapati
 
Jamaa unakula vizuri,lucas mwashambwa huwa analala njaa mara 5 kwa wiki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…