PreGE2025 Tulia Ackson: Kwanini Ulaya waone Mahakama zetu hazina uwezo?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Mindyou

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2024
Posts
2,536
Reaction score
7,194
Wakuu,

Akiwa anazungumza kwenye kipindi cha Goodmorning cha Wasafi, Tulia Ackson amekosoa vikali azimio la Bunge la Ulaya kuhusu kutaka Serikali ya Tanzania imuachie Tundu Lissu

"Baadhi ya sheria kama Uhaini, mapenzi ya jinsia moja yote yalianzishwa enzi za ukoloni, sasa hivi wamebadilisha viwango wanalazimisha tutoke wamejiwekea mazingira dunia iendeje"


Your browser is not able to display this video.

​
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…