Lubebenamawe
JF-Expert Member
- Oct 27, 2014
- 1,973
- 2,239
Hoja siyo kupima walisema tutakuwa tunaokota maiti mitaani. Hata kama tumeambukizwa kwetu Mungu anatutetea kwa kutuponya.
Uandishi wako unaonyesha wewe ni kijana wa maskani shule imekushinda , subiri mwenge upite tawini kwenu ukakimbize
Tulianza kula sembe la Yanga kabla hata hiyo 1978/79 .
Vita ya Uganda ilikuwa ni kuweka Mkatoliki mwenzake Obote madarakani bila kujali waganda wanamtaka au la.
Akatuulisha ndugu zetu wengi bureeee kwa kuushabikia Ukatoliki
Sina mengi zaidi ya hayo,ila lifanyie kazi,kama angejitukana basi haya maneno nisingeyasikia kwako. Ni hayo tu mkuu nafurai kukuambia nilivyokwambia.
Kwahyo wewe unayeandikaVIZURI UNATUMIA NINI KUANDIKA ,, KALAMU AU KEYBOARD YA SIMU? wewe uliyesoma sana UMEGUNDUA NINI HAPA KWETU? zaidi ya KUSUMBUWA WATOTO WA WENZIO KWA KUPIGA VIZINGA? wacha CHUKI DHIDI YA DINI ZINGINE...eti NYERERE alimuweka MKATOLIKI mwenzie,,,,kwahyo WEWE ULIKUWA UPANDE WA NDULI AMINI?na NYIE NDIYO MNAOUPAKA MATOPE UISLAM, ,, SASA naamini wewe ni TRAITOR.....nimekuelewa MZEE KAJAMBE MBELE...haswa KIPINDI HIKI CHA CORONA.... it is not safe
Sent using Jamii Forums mobile app
Wagonjwa waliokimbia walikuwa wangapi? Na hizo maiti walizotoa zilikuwa ngapi? Tangu umeanza kutembea mtaani umeokota maiti ngapi? Acha upumbavu kushabikia mambo ya kipumbavu taahira mkubwa weweWee mama ni pumbavu kabisa..
Wale wagonjwa waliokimbia jana Amana kwa kukosa huduma kwako ni kawaida eehh?
Wagonjwa wanatoa maiti wao wenyewe wodini kwa kukosa wahudumu kwako ni normal kabisa..!?
Lofa wewe.
Unaonekana wewe ndiye mpumbavu kushabikia bashiri za kichawi as if upo nje ya Tanzania
Jishike kifua jipige pige kifuani alafu sema Mimi ni shujaa alafu endelea kumshukuru Mungu wakoKuna wazungu Fulani na waimba mapambio walikuwa wanasema wiki mbili zijazo hali itatisha
Leo ni ijumaa lakini tunadunda tu kama kawaida wiki ya pili inaisha wagonjwa hata 1000 hawajafika
.
Kuna Mrs Billgate yeye aliongea kuwa tutakuwa tunaokota maiti mitaani lakini wiki ya pili inaisha hali iko kawaida
Kuna wakati ujuaji wa wanadamu hukwama kwa uwezo wa mwenyezi Mungu
Watu wajifunze kuwa kuna Mungu aliyewaumba na ndiye mtetezi wa wote kwenye shida na raha
AbsolutelySio mzaha ni kueleweshana hapa na kutoana hofu ndugu. Tangu corona kuripotiwa kwa mara ya kwanza nchini, je ni muda gani umepita? Hiyo probation window ya 14days kwa mtu aliyeambukizwa na kama hali ni mbaya kihivyo tunavyoaminishwa, mbona ni zaidi ya hizo siku 14!!
Ni vema tukawa tunaeleweshana haya mambo pasipo kuwekeana hofu kwa sababu hofu nayo ni shida nyingine kubwa sana pengine hata zaidi ya hiyo corona yenyewe. Watu waambiwe tu kuwa ugonjwa upo na unaua na watu wachukue tahadhari nyingi na sio kutoa taarifa za watu kuugua kila siku na kuanza jazana hofu.
Angalia sasa matatizo yaliyosababishwa na hii hofu, watu wengi wataingia kupata shida ya akili tu kwa kufungiwa ndani, uchumi wa mtu mmoja mmoja kuanguka kutokana na kupoteza vipato na taifa zima kukosa mapato kwa kuwa watu hawafanyi kazi za uzalishaji. Ulaya na Marekani huko watu wanaandamana kwa kuwa wameona huu ni ujinga sasa kuwafungia watu ndani wanakosa chakula na fedha halafu corona yenyewe haiishi.
Approach ya kukabiliana na hili tatizo ilikuwa mbaya na watu hawakuelekezwa kiusahihi hatua za kuchukua ili wakabiliane nalo na matokeo yake sasa ugonjwa haujaisha na tumezalisha matatizo mengine lukuki. Nchi zinazotegemea utalii kwa mfano, zimeingia kwenye mdororo mkubwa sana wa kiuchumi kwa sababu ya watu wachache waliojiona wao ni wataalam wakatushauri vibaya kwa interests zao na matokeo yake tumeingia kwenye shida zingine lukuki.
Akili ya binadamu imeumbwa kufanya kazi sana na kwa ufanisi ili kupata suluhu wakati wa changamoto na sio hii ya kutishana na kutiana hofu na kuzifanya akili kudumaa na kulala kabisa.
Amini nakwambia matokeo yote mabaya yatakayokuja baada ya hii corona hayatakuwa yametokana na ugonjwa wenyewe bali ni maamuzi yasiyo sahihi ya kukabiliana na huu ugonjwa.
Hiyo lugha na uandishi wako ndio unadhihirisha kuwa wewe ni mtoto wa mwenge au ndio watoto ambao wale wazungu walipita kule shule za wamisionari
Wacha zako ...HESHIMU VIONGOZI WETU WAZALENDO...unachuki SABABU ya KUVUNJWA UMOJA WA WAISLAM EAST AFRICA,,, ilivunjwa kwa MASLAHI YA INCHI..UNACHUKI PENGINE KITUMBUA CHAKO KILIMWAGIWA MCHANGA KIPINDI KILE,....labda ulikuwa na MASLAHI BINAFSI UNAYOPATA NA SI KWA FAIDA YA UISLAM... na sidhani kama ulikuwepo wakati HUO,, PENGINE ni sababu ya KUOKOTEZA VIDEO ZA KUUNGAUNGA...utimize ADHMA YAKO YA KUENEZA CHUKI...huyo ADAM NASEEB ALIYEZUNGUMZWA NAMJUWA FIKA,,NA KWAKE ILIKUWA MAGOMENI MIKUMI,,,,hakuwa MTU mwenye UPEO MDOGO KAMA WEWE...kama wenzio walikubali wakati huo kwann USIANZE NA HAO KUWAITA LAANATUL ALLAH...
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa MKUU...Kidogo unaanza kujifundisha vitu vikaeleweka labda umeelekezwa ?? Sasa jifundishe na ya kuandika
Haiendani na tulichokuwa tukikijadili.Mkuu na shule watoto mitaani kwenu vipi?
Isije kuwa shule hawaendi humu JF lakini kwenu maisha yanaendelea vyema tu.
Waambie mkuu hii corona naona imeingia siasa sana Ugonjwa upo kweli tuchukue tahadhari, ila siasa zinafanyika sana.Wewe ndio MPUMBAVU. Mgonjwa serious hakimbii hospital. Kama unafuatilia mambo vizuri kuna jamaa wa Kenya alilalamika kuambiwa ana CORONA na kapelekwa hospital na hamna anachopewa. So wengi si wagonjwa, Mgonjwa unapata wapi nguvu za kukimbia?Taarifa za kwenye media na mazingira halisi ni vitu viwili tofauti. Kama unaambiwa kila siku madereva wa Tanzania wanakutwa na corona Uganda, hujiulizi corona hii hii Mtu anapiga gia Dar to Uganda na yupo fiti?
Senti bai yuzingi tecno T301