Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Tuliambiwa Mabasi ya Mwendokasi kwa ruti ya Mbagala kuanza March 2025, Vipi huko njiani Mnayaona? Kwa yeyote aliyeyaona mabasi hayo yakisafirisha abiria kutoka Mbagala kuja Mjini atuambie ili tuipongeze Serikali.
Pia soma:
www.jamiiforums.com
Mungu Ibariki Tanzania..
Pia soma:
Usafiri wa Mwendokasi Mbagala kuanza kazi mwezi Machi 2025
"Tayari kuna mabasi [Mwendokasi] yameagizwa, inawezekana kati ya mwezi wa pili mpaka mwezi wa tatu yataanza kufika. Kwa njia hii ya Kimara - Mjini, sekta binafsi wataleta mabasi takriban 177 yanakuja kutoa huduma kwenye eneo hilo. Lakini pia sekta binafsi wameagiza mabasi ya kutoka Mjini-...
Mungu Ibariki Tanzania..