Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Ufipa hakuna taarifa leo?Assad kuwa mgombea uraisi wa chadema!Kwa yeyote aliyeyaona mabasi hayo yakisafirisha Abiria kutoka Mbagala kuja Mjini atuambie ili Tuipongeze Serikali.
Mungu Ibariki Tanzania..
Hii Nchi sijui tuendelee kuiombea au tuacheKuna matatizo yetu mengine watanzania ni obvious.
Sio kwamba mara tunarudia kusema, civil servants Tanzania ni shida; kuna sababu maalum nyuma yake kwa jinsi serikali zinavyoendeshwa.
Kivukoni na Gerezani wanaangaika wataweza MbagalaTuliambiwa Mabasi ya Mwendokasi kwa ruti ya Mbagala kuanza March 2025, Vipi huko njiani Mnayaona? Kwa yeyote aliyeyaona mabasi hayo yakisafirisha abiria kutoka Mbagala kuja Mjini atuambie ili tuipongeze Serikali.
Pia soma:Usafiri wa Mwendokasi Mbagala kuanza kazi mwezi Machi 2025
"Tayari kuna mabasi [Mwendokasi] yameagizwa, inawezekana kati ya mwezi wa pili mpaka mwezi wa tatu yataanza kufika. Kwa njia hii ya Kimara - Mjini, sekta binafsi wataleta mabasi takriban 177 yanakuja kutoa huduma kwenye eneo hilo. Lakini pia sekta binafsi wameagiza mabasi ya kutoka Mjini-...www.jamiiforums.com
Mungu Ibariki Tanzania..
Huo mtihani kweli kweli, ambao jibu sana.Hii Nchi sijui tuendelee kuiombea au tuache
Root ya kimara gerezaniKivukoni na Gerezani wanaangaika wataweza Mbagala
Soko wanaloHuo mtihani kweli kweli, ambao jibu sana.
Maana maombi ni kuomba wepesi kwenye njia unayoitaka, sasa ata kama njia yenyewe uijui sijui unasaidiwa vipi.
Wananchi washafanywa misukuleRoot ya kimara gerezani
Wanachemka π
Ova
Nadhani wametosheka na Mauzo ya Rasilimali za NchiSoko wanalo
Biashara ipo lakini wenyewe wanafeli π
Ova
Tena mandondochaWananchi washafanywa misukule
Hawajali,maana wao hawautumiNadhani wametosheka na Mauzo ya Rasilimali za Nchi