KERO Tuliambiwa tufike Chuoni St. Francis kwa gharama zetu sababu mitihani tuliofanya imepotea kwa ahadi ya kuwa refunded, sasa wanagoma kutulipa

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Mleta mada nawe ni ndugu na Mhagama?
Inaonekana wote Kiingereza hakina uhusiano mzuri nanyi.
Kama unapenda refund weka tiketi zako hapa waungwana wakuwezeshe.
 
Samahani mkuu,njoo inbox kuna details tunazihitaji tuone namna bora ya kudeal na hilo jambo
 
Kwanza ilitakiwa wakatae kufanya huo mtihani kabisa, na hakuna kitu uongozi wa chuo ungewafanya. Ilo somo kuna kosa uongozi walifanya wenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…