Eraldius JF-Expert Member Joined Jun 17, 2011 Posts 1,122 Reaction score 912 Feb 1, 2012 #1 Wanajamvi mpaka sasa hivi kuna jamaa zangu wananipigia simu wametelekezwa vituoni huko Sengerema.Chaajabu mpaka sasa hawajui ni wapi wamepangiwa kazi na wanataka msaada sehemu ya kulala.Aliye karibu wanaomba msaada Usiku huu.
Wanajamvi mpaka sasa hivi kuna jamaa zangu wananipigia simu wametelekezwa vituoni huko Sengerema.Chaajabu mpaka sasa hawajui ni wapi wamepangiwa kazi na wanataka msaada sehemu ya kulala.Aliye karibu wanaomba msaada Usiku huu.
M Mr Mayunga JF-Expert Member Joined Jun 11, 2011 Posts 313 Reaction score 40 Feb 2, 2012 #2 Mkamateni DED DISTRICT EDUCATION DIRECTOR huyo ndio bosi wenu,sisi tumemkamata.