Tulichomfanya yule mchawi hatakuja kusahau kamwe


Hivi mwanangu hizi story ni unatunga au ni uhalisia wa maisha uliyo pitia?
Kama kweli ni maisha uliyo pitia bhs mzee nakunyoshea [emoji119] ila kama ni story unatunga bas u’re genious bro
 
Pole sana UMUGHAKA.

Mambo yako wewe ni traged tuu na hakuna mahali unakaa ukastarehe.

Hata hivyo, kila mmoja wetu anayo life line yake aloumbwa nayo na lazima aipitie.
 
Umughaka hiki kisa chako kinafaa kuchezewa filamu changamka tutengeneze pesa nitafute inbox

Mkuu lete wazo la pesa,visa nilivyopitia ni vingi mno na vinatisha mno,sometimes sitakagi kuandika hapa kwasababu watu hawana shukurani zaidi ya matusi na kubeza pia hakuna nachopata zaidi ya kupoteza muda kwa watu wajinga!.

Haya lete hilo wazo la pesa nishushe simulizi hadi Samia ashike kichwa!
 
Mkuu usisahau kututag sisi wadau tusioukua na kero
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…