Tulichomfanya yule mchawi hatakuja kusahau kamwe

Mkuu Komeo Lachuma karibu sana unywe chai isiyokuwa na sukari!,tafuta benchi kabisa mkuu ukae huku ukisubiri tufikirie cha kutunga ili tukufurahishe![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nashukuru hapa sasa nitakaa kwa kuwa najua sisi wasomaji tumeheshimiwa kwa story hii na mtunzi UMUGHAKA nilikuwa nakwazika watu wengine walipokuwa wanaamini ni kweli yalitokea.... Si unajua uelewa nso unatofautiana. Lete vitu umughaka....😁
 
Kuna watu hawatakuamini😆 But kwa Kisa huku,inaonyesha ulikuwa Maeneo ya Mkoa wa Tabora hasa hasa kwenye vijiji vya wilaya ya Igunga,Urambo au Kaliua!

Misemo ya Senta na Malambo ndo iko huko😂Uchawi wa kuona mienge ya Moto kwenye miti huku miti yenyewe haiteketei ndo michezo yao hasahasa Igunga Vijijini😆Ukarimu wa kuwatunza Walimu ndo zao!! Unanikumbusha mbali sana!! Ulichokiandika kina ukweli kabisaa ✍️
 
Daah umenikumbusha mbali sana! Igunga nimekaa sana na nimezaliwa sehemu moja inaitwa "Mwanzugi"!

Kulikuwaga na msukuma mmoja hapo mwanzugi alikua anaitwa Ngokoyaza alikua na ng'ombe nyingi enzi za utoto kwenda kutafuta ubuyu na mifuru, matoborwa/matoboro tulikua tukipita eneo lile tunatoka nduki alisifika kwa uchawi so tukawa tunaogopa sana!

Nitarudi kutembea tena sehemu niliozaliwa!
 
Nipo hapa Ziba mkuu , siku ukipita karibu sana
 

Ngoko Yaza alikuwa mchawi na walikuwa wanasema alikuwa anaua watu,nakumbuka alikamatwa mwaka 2007/2008 na wanakijiji wakachoma nyumba!! Mwanzugi napajua sana hadi Lugubu😝napamic🥰
 
Ngoko Yaza alikuwa mchawi na walikuwa wanasema alikuwa anaua watu,nakumbuka alikamatwa mwaka 2007/2008 na wanakijiji wakachoma nyumba!! Mwanzugi napajua sana hadi Lugubu😝napamic🥰
Upo sahihi kabisa! Ngoko yaza alikua maarufu sana mwanzugi! Tuliondoka kule 1996 long time sana! Lile bwawa tumevua sana samaki, nimewinda sana digi digi, tumetungua sana mibuyu😀!! nasikia pamebadilika sana...nitarudi kutembea.

Nimefurahi umenikumbusha mbali..
 
Moderator, Mhariri tunaomba tuwekewe link za sura zote hapo kwenye ukurasa wa kwanza (front page) asante
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…