Tulichomfanya yule mchawi hatakuja kusahau kamwe

Sidhani ,
Simiyu si ni wanyantuzu?? Haina wakina maganga
Nani kakudanganya wanyantuzu sio wasukuma? Hiyo ntuzu ni chiefdom tu (utawala wa kitemi) lakini ni wasukuma walewale. Ni sawa na kusema Badaka, Bakwimba, Banyantuzu nk. Hizo ni koo au utemi fulani lakini pia kuna tofauti katika utamkaji wa maneno ya kisukuma lakini wao wanaelewana. Msukuma wa Ntuzu au Bariadi anasikilizana na kuelewana vizuri tu na msukuma wa Balaturu Igunga. Ni sawa na kiswahili cha Bara na Pwani au kiingereza cha Uingereza na Marekani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…