Tulichomfanya yule mchawi hatakuja kusahau kamwe

😂😂😂😂Kuchakaza nini 😂😂😂😂
 
Wakuu nilikuwa nacheki gemu ya timu yangu pendwa ya Arsenal na tumeichakaza vibaya timu ya Liverpool!.

Eeeh Mmeshindaje wananzego?,Mpo?
Tuko poa tunasubiri utupe jambo hapa mkuu
 
Wakuu nilikuwa nacheki gemu ya timu yangu pendwa ya Arsenal na tumeichakaza vibaya timu ya Liverpool!.

Eeeh Mmeshindaje wananzego?,Mpo?
tuna arosto mayu. tupe episode mbili tusome ndo tufurahie na ushindi wa arsenal.pia kuna mdau wangu hapa anaomba namba ya mama monica..anasema hajaona mahali ukitaja mme wake. bila shaka ni single maza
 
Wakuu nilikuwa nacheki gemu ya timu yangu pendwa ya Arsenal na tumeichakaza vibaya timu ya Liverpool!.

Eeeh Mmeshindaje wananzego?,Mpo?
Kwa ujumla hapa tumeshinda vibaya kwani hatufanikiwa kupata episodi inayofuata.

Hebu tatua hili tatizo ili nasi tumchakaze mzee makono kama Aseno walimvyomchakaza Livapuu au Simba walivyompiga Agusito.
 
Wakuu nilikuwa nacheki gemu ya timu yangu pendwa ya Arsenal na tumeichakaza vibaya timu ya Liverpool!.

Eeeh Mmeshindaje wananzego?,Mpo?
Kaka movie series SEASON moja ina episode 22. Hizo zote mtu wa kawaida anazimaliza kwa siku. Kama vipi kwa siku tupia EPISODE 2. Moja haitoshi
 
😅😅😅Mwehu sana sitaki kuamini mbavu zangu umezipa msukosuko kiasi hiki😆😆
 
Jitahidi utoe kitabu mkuu, Story yako inasisimua sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…