Tulichomfanya yule mchawi hatakuja kusahau kamwe

Wewe jamaa unaringa Hatari Aisee...

Yaani kastory kakuisha siku moja ila visingizio kama vyote mwamba.

Mara oon sijui hiki mara kile.

Tushawazoea wasimuliaji wote wa Jf wanamalingo kuanzia ile story ya mpwayungu hata yako wewe pia kwanza unatunga.

Ahsante
 
Vipi umeamkaje hapo sebuleni kwa shemeji yako? Mbona umeinua godoro asubuhi sana au wajomba wameamka? Acha makasiriko mkuu
 
Vipi umeamkaje hapo sebuleni kwa shemeji yako? Mbona umeinua godoro asubuhi sana au wajomba wameamka? Acha makasiriko mkuu
 
Si bure, kuna kitu umefanya kitandani. Kama sio umeumwaga basi utakuwa umekata gogo kabisa.

Pengine labda jana haukushiba umeamka ni hasira yako ya kulazwa njaa.

Mtu mwenye kuelewa majukumu na uwajibikaji hawezi asubuhi hii kuamka analilia story. Ukikosa unapita kushoto unaendelea na mengine.

Tatizo unageuza story kuwa kisubirishio cha chai na mkate.
 
jf ingekuwa na vitufe vya kubrok mtu wewe ulifaa ule jela ya mwaka mzima.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

.
 
Mshamba mmoja wewe ndo maana umekuja kuangalia kama ameleta episode mpya ukakuta comments yangu.

Nyie wenyewe mnasubiri vipande viletwe msomi .

Mshamba ww
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…