Tulichomfanya yule mchawi hatakuja kusahau kamwe

muvi la kutisha, ebhana limesha, hongera bro kwa story safi yenye maudhui mazuri ya kuelimisha, hongera bro umughaka, but ulisema una story ya kweli ya chanzo cha kufeli form 6, mimi kama shabiki ako naisubiri uzi uwo mpya tuanze nao tena.

Ushari una kipaji maridhawa cha uandishi tafuta mapublisher wa chape story zako watu wginunue ,, moja wa waandishi bora kabisa umu ndani JF, HONGERA
 
Okorere bhuya mura waitu.
 
Sijawahi fatilia story inafikia miaka zaidi ya 17 sasa tokea niache fayilia story za Shigongo mwaka 2005 (Natumaini mnaikumbuka ile story ya bibi Nyanyige aliyemsaidia dada aliyekuwa anakimbia watu waliotaka kumkamata kwa lengo la kumdhuru na wakitangaza kwa watu kuwa binti husika ni hayawani).
Lakini hii story imenifanya nimekuwa mtumwa wa kuifatilia tokea imeanza hadi mwisho
Kongole kwako UMUGHAKA
 
Safi sana. Story imeisha yote bila kuombwa pesa ya kuunganishwa group kama mdogo wake kaka muarabu.
Nahisi ungeanza kutafakari kuanza uandishi kama kazi rasmi maana kipaji unacho ndugu.
Shukran sana kwa kutupa shauku ya kutaka kujua muendelezo mpaka kufika tamati.
 
Umughaka,
Shukrani sana kwa story. Binafsi tangu story ya kijasusi ya Lege sukufatilia story yyte kuogopa addiction. Lakini hii imenikamata.

Ingewezekana kuweka namba za simu ingawa kwa humu si salama sana kwa mitizamo ya watu lakini tungeshirika nawe sadaka hata ka vocha ka buku.

Yote kwa yote shukrani kwa muda wako na kwa story yako.
 
HV

Hongera mkuu umughaka story yako nzur na umeleta bila dharau na kejele kama ya ndugu yangu mpwayungu

Sasa wew weka nmba hapo anayejisikia akuwekee chochote ili ukarekebishe chombo chako mkuu ,
 
Kesho na Mimi nitaanza kusimulia kisa changu cha kukutana na SHAN bint SADIKI (Jini lenye uzuri wa ajabu) hii ni story ya kweli ilinitokea mwishoni mwa miaka ya tisini na nikawa huru 2006

Nawahaidi kuimaliza yote ndani ya siku nne tu

Asanteni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…