Tulichomfanya yule mchawi hatakuja kusahau kamwe

Ubarikiwe Mkuu Nimefatilia mwanzo mpaka Mwisho ..Nakushukuru Sana Na Mungu abariki kazi za Mikono Yako..
 
MUDA WA MASWALI



UMUGHAKA Kwa hiyo uliondoka na dawa ulizopewa na Mama Monica. Vipi mpaka sasa unaweza kuwaona wachawi?

Je Monica huko Mwanza anajishughulisha na ucahwi bado au ameacha?
Mkuu Armani William kuhusu kuondoka na dawa HAPANA,baada ya kumkamatisha yule mzee makono,nilikaa pale kijijini kwa muda kidogo kisha nikaondoka zangu,ingawaje kuna dawa baadhi nazifahamu,na kuhusu kuwaoma wachawi siwezi tena kuwaona kwasababu sina hizo dawa!.

Monica sijajua kwasasa anafanya ishu gani Mwanza,nimepanga siku moja niibuke kule kijijini nina amini nikienda mpaka pale kwao kama kutakuwa na watu watanipatia namba yake ya simu.
 
Ole ngoosha! ... na tunataka mrejesho wa maongezi yenu tangu harakati za maisha zilipowatenganisha mpaka sasa ... na romance ya kunyonga wenye wivu!
STELINGI HAUWAWI❣️
 
Asante kwa stori

Vip hukumpatia Monica mimba
 
Shukrani sana Umughaka
Wakurya mpo vizuri kiuandishi aise...hapa namuona George Iron Mosenya kutoka huko Mugumu Serengeti

Sasa hii imeisha na imeeleweka hii mida nikiamka sijui nitakuwa nafanya nini humu😀
Ubarikiwe mzee
 
UMUGHAKA hii safi na kingole sana kwa mtiririko uliotulia pamoja na uropokaji na wajuaji wa Jamiiforums lakini haikukushughulisha wala kukukafisha tamaa eti ususe kuleta mwendelezo sana sana nawe ulijibu kinamna na kiukomavu yaanj kiume na kikurya zaidi.

Sasa tukuombe kitu ukipata nafasi na muda uatatupitisha tena kwenye ile Stori yako nyingine ya Shule ambayo uliigusia pale mwanzo baada ya member mmoja kuleta uharaka wake na u machi noo mkubwa

All in all you deserve to be a Kurya, Big up to you comrade.
 
Namba za monica(joke)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…