Tulichomfanya yule mchawi hatakuja kusahau kamwe

One of the best story ever seen.. ina realities ambazo kwa mtu alieexperience mambo ya kusumbuliwa na wachawi akisoma lasima asisimkeee na kubaki akisema nhiiiiiiiiiiiiiiiiiii pamoja na kutamani sana kujua hizo dawa za kukomesha hao viumbe moja baada ya nyingine! Much congratulations UMUGHAKA nimeipenda sana!✌️
 
Mama monica alitaka wewe umuoe binti yake, na ulidai alikuwa anakupenda sana.
Vipi reaction yake baada ya wewe kuondoka hapo kijijini?
Na kama unaweza kwa ufupi tueleze mahusiano yako na monica na familia yao yalikuwaje baada ya tukio la kumkomesha mzee makono.
UMUGHAKA
 
Kuna matukio fulani ya kichawi yalimtokea mdogo wangu wa damu 5 years back mpaka waleo hao walozi wanamsumbua sumbua sana na kumfatilia dogo! Wakati nasoma hii Story nilikua nilifuatilia hakua kwa step moja baada ya nyingine... na kuna vitu vingine UMUGHAKA umesimulia nikihusianisha na matukio yanayompata dogo umepita muleemuleeeee! Kiukweli Nawish sana kujua hizo dawa ili nimsaidie dogooo japo yeye mpaka waleo hatujui tuwafanyeje kuwaaibisha kisawasawa hao Wachawi wanaomsumbua!
 
Ila hii story ni uongo mtupu, kuna mtoto wa kike atajiamini kutembea usiku ivo?, na anatokaje nyumbani kwao bila wazazi kuskia?
 
Ila sekondari wanatumia mkuu wa shule na sio mwalimu mkuu
 
Baada ya lile tukio si badae ba Mdogo mtu alihamia Biharamulo au?? Nani wa kubaki huko Kijijini weeeee!! Anyways majibu kamili anayo Umughaka!
 
Mkuu Tuletee na Story hii basi iliyopelekea mkapigana makonde na kaka yako tena
 
Hongera mona weito.Hukujishughurisha na wapiga kelele hivyo ndivyo wwkurya tulivyo.
 
Hadithi ni ya kweli na
Ni nzuri sana. Nikuombe tu ndugu yangu Mghaka, kesho kutwa ntakua mwanza kwa wiki mbili.
Naomba jina kamili la Monica tusaidiane kumtafuta[emoji23]
 
Monica mwenyewe ndiyo huyu hapa akiwa na mama yake...hii picha ilipigwa na Mzee Makono mwaka 1998 kipindi Mama Monica anahamia kijijini hapo[emoji17][emoji119]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…