Lowasa yule waziri mkuu fisadi aliyejiuzulu .
Naam
hii ndo tanzania yenye viongozi wanao TANZA (zuia/ kinga) NIA (malengo) ZUIAMALENGO kama ukitafsiri TANZANIA kwa kiswahili fasaha.
Hii habari imeniacha Hoi bin Taabani, huyu jamaa analalama, alipewa muda bungeni hakuweza kuutumia , saa hizi asiwape watanzania hasira bure;
Tulifurahi pamoja, tukadhalilishwa, tukaonewa pamoja, sasa…
Tulifisidi pamoja, tulifurahi pamoja, tukadhalilishwa, tukaonewa pamoja, sasa tuokoane...