johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Demokrasia ya Tanzania bado ni changa na kuvumiliana Siasani kuko very limited
Mikutano ya Kisiasa huamsha hisia, mihemko na Mijadala isiyo na tija kwa Wananchi hivyo kuwapotezea Muda wao wa kuzalisha na kujipatia kipato
Ndio Sababu wakati wa katazo la Mikutano ya holela ya Wanasiasa nchi ilitulia Wananchi wakajikita kwenye Shughuli zao za Maendeleo
Ilipofika 2020 Wagombea wote akiwemo nguli Tundu Lisu kutoka Ubelgiji wakapata fursa ya kwenda sehemu yoyote waliyotamani kufanya Siasa za kampeni
Soma Pia:
Samahani Lakini 😂
Nawatakia Sabato Njema

- TLS, yatoa orodha ya watu waliopotea na kutekwa na tamko juu ya ongezeko la vitendo vya utekaji na upoteaji wa watu nchini
- Special Thread: Taarifa za Watu waliopotea au kuchukuliwa na “Watu Wasiojulikana”
Samahani Lakini 😂
Nawatakia Sabato Njema