Tulimsuta Ndugai akaomba radhi na kulazimishwa kujiuzulu. Leo mnalia nini?

Tunapotumia madudu ya leo kutaka kuyasafisha/dogosha ya jana, huwa najuliza kama tuna nia ya kweli ya progress au ni mbio za panya za kutukuza tunaowaona wakombozi wetu. End game ni nini? Hii chain ikiendelea hata ya leo yatakuwa dhahabu yakilinganishwa na ya kesho, race to the bottom bila kujifunza.
 
Mkuu hata Ndugai walewale tu sababu hakua ndani ya mfumo tena!! Lkn angesapoti kama angekua bado speaker, mkuu usijewaamin wanaccm!! Imagine ni yeye aliongoza mkakati wa kuvunjwa katiba na kumuongezea Rais muda wa kutawala!! Usiwaamini.
 
Wewe unataka iuzwe au hutaki?
Kuuzwa no. Kubinafsishwa miaka mia no pia. Kubinafsishwa miaka isiyozidi 15 kama kuna hela ya maana tutapata kama nchi na maendeleo zaidi ya tupatayo sasa naweza kuelewa. Muda mwingine mashirika ya umma yanashindwa kujiendesha na yanatutia hasara lakini tunaendelea kuyakumbatia kati yanakula hela. Nimechoka kusikia watu wanaibiwa mizigo bandarini mara kuna upigaji bandarini
 
Tatizo hiyo miaka 15 endapo hawatafanya vizuri je hasara kwa nchi si itakuwa kubwa sana?
Kinachotakiwa hapa ni kuweka mikataba yenye maslahi ya kila mwaka, na wapeqe sehemu tu ma sio bandali zote full
 
Mi sina cha kusema, ila naomba Mungu aingilie kati ili watanzania wafunguke zaidi kifikra.Ahsante
 
Umeandika ujinga
 
Lisu aliposema kura zimeibiwa ingia barabarani simlisema ubwabwa mtamu?
 
WALIOMSUTA NDUGAI WAKAMWOMBE RADHI KWANI BANDARI IPO CHINI YA DUBAI BADO BAHARI sijui ATAPEWA MCHINA AU MRUSI?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…