Tulio chaguliwa kwenda Kahororo boys tufahamiane hapa

Shaaban Haufi

Member
Joined
Apr 18, 2014
Posts
75
Reaction score
10
Nimefurahi sana,kuchaguliwa kwenda katika shule nzuri yenye mazingira mazuri na taaluma nzuri, kwa wale tulio chaguliwa pale KAHORORO BOYS SECONDARY SCHOOL.

Huu ndo muda mzuri wa kufahamiana kabla hatuja tia timu hapo kama mpo tufurahi pamoja ndani ya hii thread
0768428999
 
usiwe na haraka mtafahamaiana mpaka mtagombana. Ongera hata ivo kwa kuifikia iyo levo
 
we dogo humu ndani wa namna yako hawaruhisiwi humu ni great thinker
 
we dogo humu ndani wa namna yako hawaruhisiwi humu ni great thinker

ww sijakuelewa,kwan maada iyo inauhusiano gani na post yako,afu unaonekana mgeni jf,waache wenye busara zao tujadili ya msingi
 
kwa mwalimu anaehitaji kuhamia kilimanjaro(moshi manispaa)tubadilishane,atoke tabora wilaya yeyote.aksante.
 
yeah, kapugeni book madogo kwa wale wanaochukua uchumi kuna tcha mmoja mzur sana wa uchumi anaitwa JAIRO...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…