Tulio Fanikiwa Kufika Mwezi Wa 7 Tukiwa Bado Tupo Mjini Dar es salam Tukutane Hapa TUJIPONGEZE

Tulio Fanikiwa Kufika Mwezi Wa 7 Tukiwa Bado Tupo Mjini Dar es salam Tukutane Hapa TUJIPONGEZE

Professional Trader

JF-Expert Member
Joined
Apr 5, 2016
Posts
1,220
Reaction score
1,120
Ndugu watanzania na wana member wezangu wa Jf ...

Habari zenu viongozi wangu..... Natumai ni wazima wa Afya ...Eeh bwana wacha niende moja kwa moja kwenye point ya misingi iliyonifanya mimi kuuanzisha uzi huu ...

Mnamo mwaka jana mbaka mwaka huu mwanzoni kama sijakosea kulikuweko na uvumi wa maneno mtaani na ata kwenye baadhi ya vyomba ambavyo vinaeneza habari kwa umma kuwa Mh, Mkuu mwenyewe akitamka kwamba mtu yeyote asiyekua na la kufanya na wenginewe wengi ambao mpo mjini Dar es salam UKIFIKA MWEZI WA SABA MTAUKIMBIA MJI KWA KULUDI VIJIJI KULIMA NA KUBAKI WENYE SHUGHURI MAARUMU YA KUAFANYA na tumeona watu wengi wamepindua na kukurudi vijijini Ivyo DHUMUNI LA HII THREAD NI KUJIPONGEZA KWA WALE WATU WOTE AMBAO TUMEWEZA KUTOBOA MBAKA MWEZI WA SABA TUKIWA NDANI YA JIJI TUNAPETA NA BADO TUNAKAMA MIAKA 7 MBELE YA KUPETA na pia kwa wale ambao tumetoboa ivo ivo KIUBISHIHI UBISHI bila ya kujali ulifadhiliwa au kujiongeza kupita KIASI

KARIBUNI WATU WANGU WA NGUVU TUJIPONGEZE[emoji111] [emoji109] [emoji120] [emoji123] [emoji122] [emoji482] [emoji494] [emoji487] [emoji488] [emoji489] [emoji486] [emoji485] [emoji484] [emoji526] [emoji523] [emoji510] [emoji512] [emoji521] [emoji529] [emoji817] [emoji818]
DU$$U. √√√
 
Sio mwaka jana,alisema mwaka huu,labda kama unamaanisha mwaka jana wa fedha
 
Watahalamu wa mambo mtusaidie kuweka attachment nzuri ya picha ambayo inaendana na thread tafadhali...
 
Maneno tu.nikitoka dar.nahama nchi kabisa.siwezi kutoka dar nikaishi mikoani.
Dar akili,shamba JEMBE.
 
Jamaa wa Kibiti wanawapigia jaramba wasipodhibitiwa hamfiki Dec.
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Alikuwepo Baba Nyerere zaidi ya Miongo miwili, muda ulipo kwisha, alielekea kwake Butima, na kuwaachia jiji WAPIGA DILI..

Huyu nae atakweda Chato na kutuacha wenye JIJI...

Time will tell...
 
HAONDOKI MTU HAPA WAZEE WA VITI VIREFU ANATAKA TUKAKALIE MABECHI YA VILABU VYA ULANZI
 
TUTAKOMAAA WOTE...HAPA NI NGADU KWA NGADU,MTU NA MTU...HATA DAR IWE JANGWA NA HAKUNA MAJI TUTAKOMAA TU

OVA
 
Piga keleleeeeeeee hure hereeeeeeee, wata okota wao,. Si tunatupia tu, kwenye nyavu zao.
Nakubalii watoto wa mjini tunasema apa show show Tu mbaka kieleweke
TUTAKOMAAA WOTE...HAPA NI NGADU KWA NGADU,MTU NA MTU...HATA DAR IWE JANGWA NA HAKUNA MAJI TUTAKOMAA TU

OVA
 
Back
Top Bottom