#NO REFORMS NO ELECTIONTulipokea ndege zetu kwa furaha na ndereno lakini leo hii machozi yanatutoka.Shirika linaendesha kwa ruzuku ya serikali ,Fedha ambayo ingenunua dawa kwenye hospitali zetu-,kujenga barabara na shule .Leo hii zinatupwa shimoni .Tumepata bahati ya kununua ndege mpya lakini mikakati ya biashara haipo.Ndege zetu zikianza kuharibika kama Boeing za jirani zetu sijui tutaweka wapi uso wetu.Mimi nataribi tutarudi pale pale kwenye mwaka 2032
Tulipokea ndege zetu kwa furaha na ndereno lakini leo hii machozi yanatutoka.Shirika linaendesha kwa ruzuku ya serikali ,Fedha ambayo ingenunua dawa kwenye hospitali zetu-,kujenga barabara na shule .Leo hii zinatupwa shimoni .Tumepata bahati ya kununua ndege mpya lakini mikakati ya biashara haipo.Ndege zetu zikianza kuharibika kama Boeing za jirani zetu sijui tutaweka wapi uso wetu.Mimi nataribi tutarudi pale pale kwenye mwaka 2032
Baba Lao Mwenyewe IPTL Anaendelea Kuchota Cash Na Hazalishi ChochoteInasikitisha sana ATCL ,TRC ,TTCL ,TANESCO ni hasara tupu.
Nchi inapigwa sana ,ndiyo maana unajiuliza inakuwaje mtu anunue kiwanja cha milioni 500 na kujenga jumba la bilioni 3 halafu ni mfanyakazi wa sirikali ,kumbe weezy weezy.Baba Lao Mwenyewe IPTL Anaendelea Kuchota Cash Na Hazalishi Chochote
Jaribu kuelewa maana ya shirika la serikali kupata hasara.Viongozi wengi wa Afrika ni kama wamerogwa hivi! Maana wanatambua fika hizo ndege huwa zinaingiza tu hasara,bafala ya faida! Ila wenyewe wanaendelea tu kuzinunua!
π π π πTulipokea ndege zetu kwa furaha na ndereno lakini leo hii machozi yanatutoka.Shirika linaendesha kwa ruzuku ya serikali ,Fedha ambayo ingenunua dawa kwenye hospitali zetu-,kujenga barabara na shule .Leo hii zinatupwa shimoni .Tumepata bahati ya kununua ndege mpya lakini mikakati ya biashara haipo.Ndege zetu zikianza kuharibika kama Boeing za jirani zetu sijui tutaweka wapi uso wetu.Mimi nataribi tutarudi pale pale kwenye mwaka 2032
Hasara ilitangazwa tangu 2020 akiwepo, akamtuma Polepole aje na magazijutoAngekuwepo Magufuri aliyezileta huenda waliotia hasara mashirika wangewajibishwa!
πMitano tena.
Ruzuku kivipi wakati kila tiketi unayokata ina kodi ya asilimia 18 VAT inayoenda serikaliniTulipokea ndege zetu kwa furaha na ndereno lakini leo hii machozi yanatutoka.Shirika linaendesha kwa ruzuku ya serikali ,Fedha ambayo ingenunua dawa kwenye hospitali zetu-,kujenga barabara na shule .Leo hii zinatupwa shimoni .Tumepata bahati ya kununua ndege mpya lakini mikakati ya biashara haipo.Ndege zetu zikianza kuharibika kama Boeing za jirani zetu sijui tutaweka wapi uso wetu.Mimi nataribi tutarudi pale pale kwenye mwaka 2032
Akili za kisukuma ni bure kabisa.Wanadhani ndege ni kama baiskeli aina ya Swala au Avon.Viongozi wengi wa Afrika ni kama wamerogwa hivi! Maana wanatambua fika hizo ndege huwa zinaingiza tu hasara,bafala ya faida! Ila wenyewe wanaendelea tu kuzinunua!