Tulio single tujuane

Mi npo singo kwasababu stak kuwa na watoto kwasasa, nkpata demu mgumba au ambae atakubal kuish na mim bila maujauzto stakuwa singo
 
Loneliness sucks! Sasa kama huku kwetu leo jua halijawaka kabisa imagine hiyo baridi yake eti huko single, huko tu hapo umekikaliza kumsubiri Mr right. Utachelewa dada 😆😆😆

We tafuta mahusiano yaliolegea legea ujichomeke.
😂😂😂😂 Eti mahusiano yaliyolegealegea
 
Loneliness sucks! Sasa kama huku kwetu leo jua halijawaka kabisa imagine hiyo baridi yake eti huko single, huko tu hapo umekikaliza kumsubiri Mr right. Utachelewa dada 😆😆😆

We tafuta mahusiano yaliolegea legea ujichomeke.
Kwahio mtindo wako ni kujichomeka tu au sio?🤣🤣🤣
 
Kila mtu ana soko banah sema kupata ambaye chemistry yenu iko on fire ndo shida
Hahahah Chemistry yenu ya sikuhizi si hela tu! Ubaya kila mwanamke anataka mwanaume mwenye hela matokeo yake Demand ni kubwa kuliko supply mnaanza kugombania ukuni sasa. Mnapangwa foleni 🤣🤣🤣
 
Hahahah Chemistry yenu ya sikuhizi si hela tu! Ubaya kila mwanamke anataka mwanaume mwenye hela matokeo yake Demand ni kubwa kuliko supply mnaanza kugombania ukuni sasa. Mnapangwa foleni [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Haijalishi mwanaume awe mwenye hela au lofa foleni tunapangwa tu[emoji28].....tena wasio na hela wakizipata ulimbukeni wao unaweza shangaa hvi ni yule humble bae wangu au mwengine

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…