digba sowey
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 8,926
- 17,880
Vipi umesoma kwa shule hizo?duu warangi haoo duu wamwela waleee
Unamkumbuka mwalimu nano hapo miaka ile?Mimi nilisoma hapo kwenye hiyo shule ya mauno
Nilikuwa nawala kinoma maticha
Namkumbuka mwalimu maua na mwalimu cheupe walikuwa wakali kinoma mkuuUnamkumbuka mwalimu nano hapo miaka ile?
Mkuu mimi siku hiz huwa sipend kabisa ugonvi na watuWe mdada bhana
Naona maafande washana yao watuhumiwa wako nyuma ya nondoAiseee ndo wanachonishangaza
Hawa jamaa yan wanaeditiana
Wenyewe Kwa wenyewe
Sasa mods wanatakiwa kuwapa
Ban wote wawili
Mkuu kuna watu walikuwa wanatukana hapo juu sema post zao zilifutwa na wao wakawekwa nyuma ya nondoWapi kuna neno la dhihaka
Pamoja mkuuMkuu kuna watu walikuwa wanatukana hapo juu sema post zao zilifutwa na wao wakawekwa nyuma ya nondo
Poa poa mkuuPamoja mkuu