Umuzukuru
JF-Expert Member
- May 30, 2019
- 617
- 552
Habari wakuu natumaini mko poa na wazima wa afya
Niende kwenye mada husika
Kuna msemo usemao kuwa "umoja na nguvu na utengano ni udhaifu" hivyo basi mimi kama kijana Mwenye ndoto na malengo ya kujikomboa kimaisha kupitia fani ya Muziki kuna wazo limenijia la kutafuta watu ili tuweze kushirikiana katika shughuli za kimuziki ikiwamo uandaaji wake n.k
Kwa vijana wenzangu ni jambo la busara kama tukiweza kuungana na kupambana na maisha kupitia muziki ambapo watu wa category hizi ni muhimu
~Producer na DJ
~Manager(upande wa management na exposure)
~Dancers(wachezaji)
~Mimi ni muimbaji na muandishi wa nyimbo kiujumla
Kwani naamini kwamba kama tukiweza kufanya kitu cha tofauti itakuwa rahisi pia kupata support kutoka kwa wadau mbalimbali wa masuala ya sanaa ya muziki na burudani kutokana na juhudi tutakazozionesha.
Kwa yeyote atakayekuwa interested na hili suala anaweza kunicheki PM kwa hatua zaidi juu ya suala hili
🙏🙏🙏🙏