Tulio tayari tuungane kuanzisha kikundi cha muziki

Umuzukuru

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2019
Posts
617
Reaction score
552
Habari wakuu natumaini mko poa na wazima wa afya

Niende kwenye mada husika

Kuna msemo usemao kuwa "umoja na nguvu na utengano ni udhaifu" hivyo basi mimi kama kijana Mwenye ndoto na malengo ya kujikomboa kimaisha kupitia fani ya Muziki kuna wazo limenijia la kutafuta watu ili tuweze kushirikiana katika shughuli za kimuziki ikiwamo uandaaji wake n.k

Kwa vijana wenzangu ni jambo la busara kama tukiweza kuungana na kupambana na maisha kupitia muziki ambapo watu wa category hizi ni muhimu

~Producer na DJ
~Manager(upande wa management na exposure)
~Dancers(wachezaji)
~Mimi ni muimbaji na muandishi wa nyimbo kiujumla

Kwani naamini kwamba kama tukiweza kufanya kitu cha tofauti itakuwa rahisi pia kupata support kutoka kwa wadau mbalimbali wa masuala ya sanaa ya muziki na burudani kutokana na juhudi tutakazozionesha.

Kwa yeyote atakayekuwa interested na hili suala anaweza kunicheki PM kwa hatua zaidi juu ya suala hili

πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™
 
Jambo zuri Ila kwa Tanzania Wasanii Ni wanafiki Sana na wanamjungu Sana. Na ndio maana Mimi sitakuja kufanya Kolabo na Wanamuziki wa Tanzania labda Jaydee&Maua kidogo ndio wanajitambua. Mengine hovyooo kabisaaaa.
Wasanii wa bongo sio levo zako mwamba, we levo zako kina dj khaleed
 
Jambo zuri Ila kwa Tanzania Wasanii Ni wanafiki Sana na wanamjungu Sana. Na ndio maana Mimi sitakuja kufanya Kolabo na Wanamuziki wa Tanzania labda Jaydee&Maua kidogo ndio wanajitambua. Mengine hovyooo kabisaaaa.
Duh we hata level ya kijijini unazidiwa na wapiga zeze wa ulanzi huko kwa kina jide unajifurahisha
 
Nenda kambini Yanga, kuna waimbaji kama 8 hivi hutawakosa pale
 
Nenda kambini Yanga, kuna waimbaji kama 8 hivi hutawakosa pale
😏 Ngoja muone kwenye ngao ya jamii mtakavyo chezeshwa ndombolo ya solo na yale mahotpot yenu ya biriani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…