Tulioalikwa nyumbani kwa balozi wa Italy kushehererekae uhuru wa ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡น kesho tukutane hapa.

Haa hongera sana kwa mwaliko. Waalikwa nadhani watakuja hapa .
 
Nipo hapa, nshaandaa mtoko wangu wa kutetemesha Dunia. Naamini mkiniona mtanijua tyuuh.
 
Nadhani tukikutana mapema jukwaani tutaweza kufanya maandalizi ya pamoja, tukae meza moja kama JamiiForums, tubadilishane mawazo, uzoefu nk.

Niko hapa
Mie ninavyowachukia mabalozi wetu waliowafanyia vijana wetu mtima nyongo kuhusiana na uraia pacha. Siwezi kuhudhuria jap niko mbali. Hata ningekuwa Roma nisingepoteza muda wangu kwa mijitu yenye roho kutu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ