Ktk wachelewaji kuna mwanangu. Msamehe bure.Leo Mimi ni mwalimu wa zamu. Nimeshawahi shule nasubiri wachelewaji[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]
Hahahaha anaitwa nani. Nitamchapa Leo hatari
mmmm mwalimu wa zamu hadi karne hii unatumia VIBOKO kudhibiti nidhamu,iache hiyo copral punishments inaharibu our next generations.Hahahaha anaitwa nani. Nitamchapa Leo hatari
Nadhani unataka kuanzisha mjadala mpya. Bora ufocus kwenye mada.mmmm mwalimu wa zamu hadi karne hii unatumia VIBOKO kudhibiti nidhamu,iache hiyo copral punishments inaharibu our next generations.
Anaitwa WABAYA WATU, naomba usimchape, mtoto wa pekee. Mtoto wa uzeeni!Hahahaha anaitwa nani. Nitamchapa Leo hatari
ahahahaha noma sanaMake up kwanza kwa ajili ya kwenda kuuza sura kazin kama hivyo pichanView attachment 552317
Hahahaha anakuita Babu bila shakaAnaitwa WABAYA WATU, naomba usimchape, mtoto wa pekee. Mtoto wa uzeeni!
Sent using Jamii Forums mobile app
Nani kakuita huko
Kuna binti namfukuzia huko....mimi naishi Tegeta Nyuki...sasa binti leo kaniambia yuko free niende..ndo nakimbilia huko.Nani kakuita huko
Morning gloryMi ninasikiliza magazeti ,baada ya hapo naenda kwenye mihangaiko yangu ya kila siku .Wewe je?