NITATOA USHUHUDA
JF-Expert Member
- Jul 6, 2017
- 757
- 728
ohoo wazee wa kuliamsha dude asubuhi.haya bana mi nimeamka nmesali subuhi,nmerudi kulala nmeamka nmefanya usafi wa mazingira na mwili,kisha yoga kidogo kunyoosha viungo,then chai now,nkitoka hapa naenda picnic nje ya mji kupunguza stress za wiki nzima
Ulivyo mrembo wanafunzi watakuwa wanaelewa somo kweli?[emoji12][emoji12][emoji12]Leo Mimi ni mwalimu wa zamu. Nimeshawahi shule nasubiri wachelewaji[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]
Du!! Leo kazi ipo hukoMake up kwanza kwa ajili ya kwenda kuuza sura kazin kama hivyo pichanView attachment 552317
Morninggooood morning
Shavu limenona kabisaMake up kwanza kwa ajili ya kwenda kuuza sura kazin kama hivyo pichanView attachment 552317