Tulioamka tumejilaza vitandani tujuane

Ndio naingia kitandani Niko vizuri hatri
 
Nimetoka kususu
Nje kuna manyunyu
Na hivi baadae kuna ka holiday, basi now ni kuperuzi tu.
Nitalala baada ya chai.
Hata uandishi wako unaonesha una fraha
 
Kausingizi kamekata nipo tu nazurura zurura online.
 
dahh yan kameshakua kama kaugonjwa mida hii lazima nihangaike
 
Nimetoka kususu
Nje kuna manyunyu
Na hivi baadae kuna ka holiday, basi now ni kuperuzi tu.
Nitalala baada ya chai.
Jichange uhamie kwenye ka single self kususu ni humo humo ndani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…