Tulioamua kuishi single baada ya kuacha wake zetu tukutane hapa

Miezi minne sasa imepita tangu nimpe talaka na stahiki sake
Maisha yanasonga bila kero
 
pole,ila ukipata mtu tena,chukua time kumsoma kwanza kabla ya kuooana,kuepuka usumbufu mbeleni.......
 
Nini kiliwatenganisha Mkuu?

Nammis sana mke wangu. Natamani turudiane lakini bado moyo wake umekuwa mgumu kurudi kwangu. Mniweke kwenye maombi wakuu
 
Maisha Ni Utata Nafikiria Zile Pesa Million 14 Tulizochanga Kwa Ajili Ya Genye Zenu Za Awali Alafu Mnavyoachana Kama Kumsukuma Mlevi Pwaaaaa !![emoji51][emoji51][emoji51]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…