Tulioangalia mpira kupitia TBC

Uhuru24

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2015
Posts
4,112
Reaction score
4,361
Jana ndio ufunguzi wa kombe la Dunia huko Qatar [emoji1203] tumeona mambo mengi sana kupitia ufunguzi huo hasa kwa kutumia chombo chetu cha Taifa yaani TBC kwakweli tunashukuru kwa hilo maana mimi nilikuwa sijalipia king'amuzi changu.

Hoja yangu ni kwamba pale ulipoanz mpira ndio nikajikuta ninachokiona mbona kama kilikuwa kinanichanganya,yaan kuna wakati nikajua nina usingizi au macho yangu yamechoka kutazama [emoji342]? maana sio kwa picha zile nilikuwa nashindwa hata kujua mpira unakwenda wapi,unachezekq au umesimama.

Nilikuwa sijui kama zile picha zinkwenda slow motion au high motion,kwakweli nikaona bora nizime tv maana nilikuwa sielewi kinachoendelea.

WEWE MWENZANGU ULIEANGALIA KUPITIA TBC KWKO ULIYAONA HAYO AU KWANGU UMEME ILIKUW MDOGO?
 
Peleka Tv kwa fundi, mimi nimeangalia kupitia tbc hiyo hiyo kitu HD na mambo yalikuwa safi kabisa.
 
Mi nilikerwa na uchambuz hafifu na viashiria vya siasa.Ila pongezi kwa kutuonesha.
 
Peleka Tv kwa fundi, mimi nimeangalia kupitia tbc hiyo hiyo kitu HD na mambo yalikuwa safi kabisa.
Hapana Mkuu sidhani kama tatizo ni TV nilijaribu kuangalia pia kwa TBC kupitia hiyo hiyo DSTV maana wameipromote sana kuwa wataonyesha hizi mechi ilikuwa kichekesho,nikaswitch Supersport na mambo yakawa mswano kabisa
 
Dah nilifikiri ninaumwa macho na mm!!!iliniumiza macho. Poor/blurred vision ..ila mwanzo mzuri..walitizame na hili
 
Kama wewe ulikua unaipata kwa shida TBC basi una haki ya kulaumu, lakini huwezi kuilaumu tu kwa ajili ya hizi picha za kombe la dunia ambazo hazizalishwi na wao,na pia hawarushi picha moja kwa moja kwa mteja hivyo tatizo linaweza pia kua startime,au azam.

Mimi ni mmojawapo nilieangalia kupitia TBC, kwa king'amuzi cha azam na ilikua safi mwanzo mpaka mwisho.
 
Hata kama huipendi TBC lakini usiidharu na kuiponda kupita kiasi. Hata kama picha zake hazina ubora kama wa Super sports, ila si kwa kiwango cha chini kama mleta mada alivyoelezea. Mimi nimetazama kupitia Azam, ubora unaridhisha. Hicho ndio chombo chetu cha habari cha Taifa, tukipende na tutoe maoni ya jinsi ya kukiboresha.
 
tbc sio ya kitaifa ni ya cccm
 
Kama wewe uliona ilikuwa vizuri good for you lakini hakuna ubaya pia kwa mleta mada kuelezea kile alicho experience wakati anaangalia.
 
tbc na HD imeanza lini.. tafuteni hela tbc sio channel ya kuangalia kombe la dunia..mtangazaji humsikii na picha kama mchuzi biriani
Imebidi nirudi kuangalia kwa King'amuzi cha Dstv nione kama kweli ni HD maana huwa wanaonyesha kuwa channel husika ni HD nikakuta hola.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…