Tulioanza shule mapema tukutane hapa.

Tulioanza shule mapema tukutane hapa.

Aim yako hasa ni nini? Kujipongeza, kulalama, kutetea au kujiona bora? Watu waliosoma enzi za sixties wote walianza shule na umri huo hasa shule za kanisa katoliki wakati huo shule nyingi zilikuwa private na watu walilipa fees. Kama umesoma shule za UPE na umri huo, pole. Au Lumumba ilikupeleka IST?
 
Nilianza shule ya Msingi nikiwa na 5 years! wewe je?

Ila hata mlioanza ukubwani hamjatengwa;

Itifaki imezingatiwa.
[emoji12] mnaanza shule mapema manachelewa maisha bora tuliochelewa shule kwenye maisha.....
 
Back
Top Bottom