[emoji3][emoji3][emoji3]Ndio maana kichwani una magwanji tu
[emoji3][emoji3][emoji3]Haha; huyo atakua kaanza lakwanza akiwa na 30 ndio maana ana hasira sana
sawa babu
Sio kweli jombaaKwa kauzoefu kangu kadogo, watoto wengi wanaoanzishwa shule mapema huwa vichwa panzi
Mh hapana si kweli kabisa,Kwa kauzoefu kangu kadogo, watoto wengi wanaoanzishwa shule mapema huwa vichwa panzi
Mh hapana si kweli kabisa,
Mh hapana si kweli kabisa,
Sio kweli jombaa
[emoji12] mnaanza shule mapema manachelewa maisha bora tuliochelewa shule kwenye maisha.....Nilianza shule ya Msingi nikiwa na 5 years! wewe je?
Ila hata mlioanza ukubwani hamjatengwa;
Itifaki imezingatiwa.
[emoji12] mnaanza shule mapema manachelewa maisha bora tuliochelewa shule kwenye maisha.....
Jaman Avatar mwanzisha uzi c anacfia walioanaa shule mapema auMhh shule ipi hapa wasemea wewe jiwemton?